Friday, February 24, 2012

Posted by GLOBAL on February 24, 2012 at 10:01am 3 Comments
Na Erick Evarist
KATIKA kile kilichotafsiriwa kuwa ni kumruhusu mpenzi wake amsaliti, msanii wa filamu anayefanya kazi chini ya Kampuni ya RJ, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani) amedai kutokuwa na wivu kabisa na hata ikitokea akamfumania ‘mtu’ wake hawezi kuumia.
Recho ambaye anatoka kimapenzi na mpiga picha wa kampuni yake aitwaye Saguda,  aliyasema hayo juzi alipokuwa akizungumza na gazeti hili juu ya maisha yake ya kimapenzi.
Alisema, yeye anahisi moyo wake ni tofauti na wa wanawake wengine kwani wivu wa kuumia pale anapobaini amesalitiwa hana na anachoamini ni kwamba kusalitiwa ni habati mbaya.
“Mimi mwenzenu sijui hata nikoje, yaani sina kabisa mishipa ya wivu, nikimfumania mpenzi wangu na mwanamke mwingine nitamchukuwa na kumkanya tu wala sitaleta ugomvi wowote, najua itakuwa…
Na Erick Evarist
KATIKA kile kilichotafsiriwa kuwa ni kumruhusu mpenzi wake amsaliti, msanii wa filamu anayefanya kazi chini ya Kampuni ya RJ, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani) amedai kutokuwa na wivu kabisa na hata ikitokea akamfumania ‘mtu’ wake hawezi kuumia.
Recho ambaye anatoka kimapenzi na mpiga picha wa kampuni yake aitwaye Saguda,  aliyasema hayo juzi alipokuwa akizungumza na gazeti hili juu ya maisha yake ya kimapenzi.
Alisema, yeye anahisi moyo wake ni tofauti na wa wanawake wengine kwani wivu wa kuumia pale anapobaini amesalitiwa hana na anachoamini ni kwamba kusalitiwa ni habati mbaya.
“Mimi mwenzenu sijui hata nikoje, yaani sina kabisa mishipa ya wivu, nikimfumania mpenzi wangu na mwanamke mwingine nitamchukuwa na kumkanya tu wala sitaleta ugomvi wowote, najua itakuwa shetani kampitia kwa hiyo nitamsamehe na kuyaacha maisha yaendelee kuwepo,” alisema Recho.

0 comments:

Post a Comment

Mr.Mputa

You are welcome in this blog you ca get us through..
Mobile+255717962720
+255767962720
Njombe Iringa Tanzania

TANGAZO

Karibuni katika Blog ya Jiliwaze hapa utapata mambo mbali mbali yakufunza na kuonya na kama unahitaji kutengenezewa email,facebook ac,page ama blog wasiliana nasi kupitia.. Phone:0717962720/0767962720 Email:mputae@yahoo.com :mputae@rocketmail.com

Popular Posts